Mwaka wa Liturujia 2025/26 · Mwaka A

Kalenda ya Kanisa

Kalenda moja kwa liturujia na maisha ya Parokia: sikukuu na kumbukumbu, rangi za liturujia, masomo, Misa, sakramenti, Jumuiya, vijana, katekesi, usafi na vikao.

Dominika · Kipindi cha Kawaida

Dominika ya 27 ya Mwaka A

Rangi: KijaniMwaka A · Siku za juma II

Masomo ya Siku

  • Somo la KwanzaIsa 5:1-7
  • Zaburi ya KuitikizaZab 80
  • Somo la PiliFlp 4:6-9
  • InjiliMt 21:33-43

Ratiba ya siku

05:50
Misa — Misa ya I — Watu Wazima
Kanisani · hadi 06:50
08:00
Misa — Misa ya II — Watu Wazima Mubashara
Kanisani · hadi 09:00
10:00
Misa — Misa ya III — Vijana
Kanisani · hadi 11:00
10:00
Sherehe ya Mt. Carlo Acutis — Sikukuu ya Vijana
Parokiani
Misa Takatifu ya Sherehe ya Mt. Carlo Acutis, msimamizi wa vijana. Mavazi: wanaume nyeusi na nyeupe, wanawake nyeupe. Vijana waje na matoleo...
16:00
Misa — Misa ya IV — Watoto
Kanisani · hadi 17:00

Tuko wapi katika Mwaka wa Kanisa

Rangi za liturujia: Kijani Zambarau Nyeupe Nyekundu Waridi

Ratiba ya usafi inaonyesha tu kuwa kuna usafi; Jumuiya iliyopangwa inaona maelezo kamili ndani ya Portal ya Waumini.