Misa Takatifu ya Sherehe ya Mt. Carlo Acutis, msimamizi wa vijana. Mavazi: wanaume nyeusi na nyeupe, wanawake nyeupe. Vijana waje na matoleo yao.
Jumapili, 4 Oktoba 2026 katika LiturujiaDominika ya 27 ya Mwaka A · Rangi: Kijani