Tangazo hili liko kwenye kumbukumbuMuda wake uliisha 4 Oktoba 2026.

Sikukuu ya Vijana na Utakatifu. Vijana wote wa Parokia ya Mt. Bonaventura — Kinyerezi mnaalikwa kwenye Sherehe ya Mt. Carlo Acutis, msimamizi wa vijana wa kizazi hiki.
Tarehe: Jumapili, 4 Oktoba 2026
Muda: Saa 4:00 asubuhi (10:00)
Mahali: Parokiani
Vijana, njooni na matoleo yenu kwenye Misa Takatifu.
Mavazi: Wanaume — nyeusi na nyeupe. Wanawake — nyeupe.
Mawasiliano: Mwenyekiti 0656 229 998 · Katibu 0689 681 591.