Mwaka wa Liturujia 2025/26 · Mwaka A
Kalenda ya Kanisa
Kalenda moja kwa liturujia na maisha ya Parokia: sikukuu na kumbukumbu, rangi za liturujia, masomo, Misa, sakramenti, Jumuiya, vijana, katekesi, usafi na vikao.
Siku ya Kawaida · Kipindi cha Kawaida
Jumamosi ya Wiki ya 25 ya Kipindi cha Kawaida
Rangi: KijaniMwaka A · Siku za juma II
Masomo ya Siku
- Somo la KwanzaMhu 11:9–12:8
- Zaburi ya KuitikizaZab 90
- InjiliLk 9:43b-45
Ratiba ya siku
07:00
Misa Takatifu
Kanisani · hadi 08:00
07:00
Usafi wa Kanisa
Kanisa kuu na uwanja · hadi 09:00
Jumuiya iliyopangwa hujulishwa kupitia Portal ya Waumini.
08:00
Kongamano la Vijana (VIWAWA)
Ukumbi wa Parokia · hadi 16:00
Mada: "Njooni mnifuate" — wito, kazi na imani.
10:00
Katekesi ya Kipaimara
Ukumbi wa Parokia · hadi 12:00
15:00
Ungamo (Kitubio)
Kanisani · hadi 17:30
18:00
Misa ya Dominika (Mkesha)
Kanisani · hadi 19:00
Tuko wapi katika Mwaka wa Kanisa
MajilioKawaidaKwaresimaPasakaKawaida
Rangi za liturujia: Kijani Zambarau Nyeupe Nyekundu Waridi
Jum
Jum
Jum
Jum
Alh
Iju
Jum
264
ShereheMwili na Damu Takatifu ya Kristo +2 zaidi
272
282
292
ShereheWat. Petro na Paulo, Mitume +2 zaidi
302
+2 zaidi
12
ShereheMoyo Mtakatifu wa Yesu +1 zaidi
22
KumbukumbuMoyo Safi wa Bikira Maria +2 zaidi
34
DominikaDominika ya 14 ya Mwaka A +2 zaidi
42
52
62
+2 zaidi
72
+2 zaidi
82
+1 zaidi
92
+2 zaidi
104
DominikaDominika ya 15 ya Mwaka A +2 zaidi
112
KumbukumbuMt. Benedikto, Abati
122
132
+2 zaidi
142
+2 zaidi
152
ShereheMt. Bonaventura, Askofu na Mwalimu wa Kanisa — Msimamizi wa Parokia +1 zaidi
162
+2 zaidi
174
DominikaDominika ya 16 ya Mwaka A +2 zaidi
182
192
202
+2 zaidi
212
+2 zaidi
222
SikukuuMt. Maria Magdalena +1 zaidi
232
+2 zaidi
244
DominikaDominika ya 17 ya Mwaka A +2 zaidi
252
SikukuuMt. Yakobo, Mtume
262
KumbukumbuWat. Yoakimu na Anna
272
+2 zaidi
282
+2 zaidi
292
KumbukumbuWat. Martha, Maria na Lazaro +1 zaidi
302
+2 zaidi
314
DominikaDominika ya 18 ya Mwaka A +2 zaidi
Ratiba ya usafi inaonyesha tu kuwa kuna usafi; Jumuiya iliyopangwa inaona maelezo kamili ndani ya Portal ya Waumini.