Mwaka wa Liturujia 2025/26 · Mwaka A

Kalenda ya Kanisa

Kalenda moja kwa liturujia na maisha ya Parokia: sikukuu na kumbukumbu, rangi za liturujia, masomo, Misa, sakramenti, Jumuiya, vijana, katekesi, usafi na vikao.

Siku ya Kawaida · Kipindi cha Kawaida

Jumamosi ya Wiki ya 26 ya Kipindi cha Kawaida

Rangi: KijaniMwaka A · Siku za juma II

Masomo ya Siku

  • Somo la KwanzaAyu 42:1-3, 5-6, 12-17
  • Zaburi ya KuitikizaZab 119
  • InjiliLk 10:17-24

Ratiba ya siku

07:00
Misa Takatifu
Kanisani · hadi 08:00
15:00
Ungamo (Kitubio)
Kanisani · hadi 17:30

Tuko wapi katika Mwaka wa Kanisa

Rangi za liturujia: Kijani Zambarau Nyeupe Nyekundu Waridi

Ratiba ya usafi inaonyesha tu kuwa kuna usafi; Jumuiya iliyopangwa inaona maelezo kamili ndani ya Portal ya Waumini.