Mwaka wa Liturujia 2025/26 · Mwaka A
Kalenda ya Kanisa
Kalenda moja kwa liturujia na maisha ya Parokia: sikukuu na kumbukumbu, rangi za liturujia, masomo, Misa, sakramenti, Jumuiya, vijana, katekesi, usafi na vikao.
Siku ya Kawaida · Kipindi cha Kawaida
Jumanne ya Wiki ya Pili ya Kipindi cha Kawaida
Rangi: KijaniMwaka B · Siku za juma II
Masomo ya Siku
Masomo ya siku hii yataongezwa na Ofisi ya Parokia kutoka Kalenda ya Liturujia.
Ratiba ya siku
06:30
Misa Takatifu
Kanisani · hadi 07:30
18:00
Misa Takatifu
Kanisani · hadi 19:00
Tuko wapi katika Mwaka wa Kanisa
MajilioKawaidaKwaresimaPasakaKawaida
Rangi za liturujia: Kijani Zambarau Nyeupe Nyekundu Waridi
Jum
Jum
Jum
Jum
Alh
Iju
Jum
304
SikukuuFamilia Takatifu ya Yesu, Maria na Yosefu +2 zaidi
312
12
ShereheMaria Mama Mtakatifu wa Mungu
22
KumbukumbuWat. Basili Mkuu na Gregori wa Nazianzi +2 zaidi
32
+2 zaidi
42
+1 zaidi
52
+2 zaidi
64
ShereheEpifania ya Bwana +2 zaidi
72
82
92
+2 zaidi
102
+2 zaidi
112
+1 zaidi
122
+2 zaidi
134
SikukuuUbatizo wa Bwana +2 zaidi
142
152
162
+2 zaidi
172
KumbukumbuMt. Antoni, Abati +2 zaidi
182
+1 zaidi
192
+2 zaidi
204
DominikaDominika ya Pili ya Mwaka B +2 zaidi
212
KumbukumbuMt. Agnes, Bikira na Shahidi
222
232
+2 zaidi
242
KumbukumbuMt. Fransisko wa Sales +2 zaidi
252
SikukuuKuongoka kwa Mt. Paulo, Mtume +1 zaidi
262
KumbukumbuWat. Timotheo na Tito +2 zaidi
274
DominikaDominika ya Tatu ya Mwaka B +2 zaidi
282
KumbukumbuMt. Thoma wa Akwino
292
302
+2 zaidi
312
KumbukumbuMt. Yohane Bosko +2 zaidi
12
+1 zaidi
22
SikukuuKutolewa kwa Bwana Hekaluni +2 zaidi
Ratiba ya usafi inaonyesha tu kuwa kuna usafi; Jumuiya iliyopangwa inaona maelezo kamili ndani ya Portal ya Waumini.