Demo Version 1 — taarifa zote hapa ni za mfano, si halisi.
Mwaka wa Liturujia 2025/26 · Mwaka A

Kalenda ya Kanisa

Kalenda moja kwa liturujia na maisha ya Parokia: sikukuu na kumbukumbu, rangi za liturujia, masomo, Misa, sakramenti, Jumuiya, vijana, katekesi, usafi na vikao.

Sikukuu · Kipindi cha Noeli

Mt. Yohane, Mtume na Mwinjili

Jumatatu — Kipindi cha Noeli

Rangi: NyeupeMwaka C · Siku za juma II

Masomo ya Siku

Masomo ya siku hii yataongezwa na Ofisi ya Parokia kutoka Kalenda ya Liturujia.

Ratiba ya siku

06:30
Misa Takatifu
Kanisani · hadi 07:30
18:00
Misa Takatifu
Kanisani · hadi 19:00

Tuko wapi katika Mwaka wa Kanisa

Rangi za liturujia: Kijani Zambarau Nyeupe Nyekundu Waridi

Ratiba ya usafi inaonyesha tu kuwa kuna usafi; Jumuiya iliyopangwa inaona maelezo kamili ndani ya Portal ya Waumini.