Mwaka wa Liturujia 2025/26 · Mwaka A
Kalenda ya Kanisa
Kalenda moja kwa liturujia na maisha ya Parokia: sikukuu na kumbukumbu, rangi za liturujia, masomo, Misa, sakramenti, Jumuiya, vijana, katekesi, usafi na vikao.
Siku ya Kawaida · Majilio
22 Desemba — Siku za Maandalizi ya Noeli
Rangi: ZambarauMwaka A · Siku za juma II
Masomo ya Siku
Masomo ya siku hii yataongezwa na Ofisi ya Parokia kutoka Kalenda ya Liturujia.
Ratiba ya siku
06:30
Misa Takatifu
Kanisani · hadi 07:30
18:00
Misa Takatifu
Kanisani · hadi 19:00
Tuko wapi katika Mwaka wa Kanisa
MajilioKawaidaKwaresimaPasakaKawaida
Rangi za liturujia: Kijani Zambarau Nyeupe Nyekundu Waridi
Jum
Jum
Jum
Jum
Alh
Iju
Jum
304
DominikaDominika ya Kwanza ya Majilio +2 zaidi
12
22
32
KumbukumbuMt. Fransisko Saveri +2 zaidi
42
+2 zaidi
52
+1 zaidi
62
+2 zaidi
74
DominikaDominika ya Pili ya Majilio +2 zaidi
82
ShereheBikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili
92
102
+2 zaidi
112
+2 zaidi
122
+1 zaidi
132
KumbukumbuMt. Lusia, Bikira na Shahidi +2 zaidi
144
DominikaDominika ya Tatu ya Majilio +2 zaidi
152
162
172
+2 zaidi
182
+2 zaidi
192
+1 zaidi
202
+2 zaidi
214
DominikaDominika ya Nne ya Majilio +2 zaidi
222
232
242
+2 zaidi
252
ShereheNoeli — Kuzaliwa kwa Bwana +2 zaidi
262
SikukuuMt. Stefano, Shahidi wa Kwanza +1 zaidi
272
SikukuuMt. Yohane, Mtume na Mwinjili +2 zaidi
284
SikukuuFamilia Takatifu ya Yesu, Maria na Yosefu +2 zaidi
292
302
312
+2 zaidi
12
ShereheMaria Mama Mtakatifu wa Mungu +2 zaidi
22
KumbukumbuWat. Basili Mkuu na Gregori wa Nazianzi +1 zaidi
32
+2 zaidi
Ratiba ya usafi inaonyesha tu kuwa kuna usafi; Jumuiya iliyopangwa inaona maelezo kamili ndani ya Portal ya Waumini.